JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Rais Samia ampandisha cheo afisa wa Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akimvisha cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Dora Kiteleki, leo Septemba 6,2024.  IGP Wambura amemvisha cheo hicho baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano…

Shindano la kriket kufuzu Kombe la Dunia kufanyika Septemba 20

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia,Dar es Salaam Michuano ya kimataifa ya mchezo wa kricket katika kampeni ya kufuzu kombe la dunia kwa upande wa mchezo wa kricket yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi nchini kuanzia Septemba 20, mwaka huu. Mashindano hayo yatafanyika nchini…

Si sahihi kufanya ukaguzi katika kaya kubaini wanaotumia kuni au mkaa

Ma Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema si sahihi na hakuna utaratibu wa kufanya ukaguzi katika kila kaya ili kubaini kama zinazotumia kuni au mkaa na badala yake kinachotakiwa ni kufuatilia na kuhakikisha misitu haikatwi ovyo. Hayo yamesemwa na Waziri…

Shughuli za kibinadamu kwenye shoroba chanzo cha migongano

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Bagamoyo Imeelezwa kuwa kati ya vyanzo vinavyochangia migongano kati ya binadamu na wanyamapori ni kufanyika kwa shughuli za kibinadamu kama kilimo na ufugaji kwenye mapito ya wanyamapori. Hayo yamebainishwa leo Septemba 5, 2024 na Ofisa Mhifadhi…

Papa na imamu mkuu wa Indonesia watoa wito wa pamoja wa amani

Papa Francis ameonya dhidi ya kutumia dini kuchochea migogoro katika siku yake ya mwisho ya ziara yake nchini Indonesia, sehemu ya kwanza aliofika katika ziara yake ya kuzunguka eneo la Asia Pacific. Katika msikiti wa Istiqlal katika mji mkuu wa…