JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Watumishi wa ardhi Dodoma wapewa siku 30 kutatua migogoro ya ardhi

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendekeo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi ametoa siku 30 kwa watumishi wa Ardhi jiji la Dodoma kutatua migogoro na changamoto za ardhi na kupata majawabu ifikapo Desemba 10 2024. Waziri Ndejembi amesema hayo Novemba 8, 2024 wakati wa kikao chake na watumishi wa Ardhi Ofisi…

Makamu wa Rais awasili Baku Azerbaijan

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utakaoshiriki Mkutano wa 29 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa…

Tanzania, Uganda zasaini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa

Na Munir Shemweta, WANMM Bukoba Tanzania na Uganda zimetia saini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yalifikiwa wakati wa mwisho wa kikao cha Kamati ya Pamoja ya Wataalamu (JTC) kati ya nchi hizo kilichokuwa…

Mlipuko wa Bomu waua 25 stesheni ya treni nchini Pakistani

Takriban watu 25 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa kufuatia mlipuko wa bomu uliotokea katika stesheni ya treni ya Quetta, jimbo la Balochistani nchini Pakistani. Mlipuko huo ulitokea wakati treni ya abiria iliyokuwa imejaa watu ikijiandaa kuondoka mapema…

Miaka 60 ya Uhuru wa Zambia ni faraja kwa Tanzania

Na Lookman Miraji Kwa huu 2024 taifa la Zambia limetimiza miaka 60 ya kuwa taifa huru linalojiongoza lenyewe kupitia mfumo wake wa kikatiba. Rejea historia ya taifa la Zambia inatueleza kuwa taifa hilo lilijitwalia uhuru wake mnamo oktoba 24 ,1964…