Year: 2024
Mwanasiasa wa upinzani Malawi atuhumiwa kupanga njama ya kumuua rais
Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Malawi ameshtakiwa kwa kupanga njama ya kumuua Rais wa nchi hiyo, Lazarus Chakwera. Patricia Kaliati, Katibu Mkuu wa chama cha UTM, alikamatwa wiki iliyopita kwa tuhuma za “kula njama na wengine kutenda kosa kubwa”….
Iran yamnyonga mpinzani raia wa Ujerumani
Iran imemnyonga mpinzani wa Ujerumani na Iran Jamshid Sharmahd, baada ya kukutwa na hatia ya “kuongoza operesheni za kigaidi”, vyombo vya habari vya serikali vinaripoti. Sharmahd alihukumiwa kifo mwaka jana baada ya kushutumiwa kwa kuongoza kundi la wafuasi wa kifalme…
Tanzania, Urusi kushirikiana kuendeleza utalii
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imekubaliana kushirikiana na Nchi ya Urusi katika kukuza na kuendeleza Sekta ya Utalii. Hayo yamebainika usiku wa Oktoba 28,2024 katika kikao kati ya Waziri wa Maliasili na…
Tunahitaji uchaguzi si uchafuzi TAMISEMI
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Leo zimesalia wiki tatu kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Chama Cha Mapinduzi (CCM) wiki iliyopita wamepiga kura za maoni na kupata wagombea watakaowawakilisha katika uchaguzi huo unaofanyika Novemba…
Urusi yashambulia kwa mabomu jengo la kihistoria la Soviet Ukraine
Urusi wamelishambulia jengo inayojulikana kwa wakazi wote wa Kharkiv,” Oleh Syniehubov, gavana wa mkoa wa Kharkiv, aliandika kwenye Telegraph, amesema sakafu kadhaa zimeharibiwa. Jengo la Derzhprom, lililowekwa kwenye orodha “ya majaribio” ya Maeneo ya Urithi wa Dunia wa UNESCO, lilikamilishwa…