Year: 2024
Mbunge Ole Lekaita ampa tano Rais Samia
Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mkoani Manyara Mhe Edward Ole Lekaita amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi anayoifanya ya kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi kwa wakati. Amesema kuwa Rais Samia amekuwa kinara…
Hapi : Viongozi waliopo madarakani wawajibike kwa wananchi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi wa CCM, Ally Salum Hapi, akiwa Kibaha Vijijini, amesisitiza umuhimu wa viongozi walioko madarakani kuwajibika kwa wananchi waliowapa nafasi ya uongozi. Hapi ameonya kuwa katika kipindi hiki cha kuelekea…
Jeshi la Polisi laanza uchuguzi wa aliyeshushwa kwenye basi
Jana Septemba 6,2024 zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa jioni maeneo ya Tegeta Jijini Dar es Salaam, mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ally Mohamed Kibao, akiwa safarini na basi la Tashrif alichukuliwa na kushushwa toka kwenye basi…
Tanzania, Uingereza kuimarisha ushirikiano sekta ya nishati
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko Septemba 6, 2024 jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na balozi mpya wa Uingereza nchini. Mhe. Marianne Young. Lengo…
Watu 12 wafariki 33 wajeruhiwa kwa ajali Mbeya
Rc atoa maagizo kwa TANROADS, LATRA na Polisi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Watu 12 wamefariki dunia na wengine 33 kujeruhiwa baada ya basi lenye namba za usajili T 282 CXT mali ya Kampuni ya A-N COACH lilokuwa likitokea Mbeya…
Hapi: Umoja na utendaji nguzo ya CCM kushika dola Uchaguzi 2024/2025
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani KATIBU Mkuu Jumuiya ya Wazazi Taifa(MNEC) Ally Hapi ,ametoa rai kwa Chama na Jumuiya kujenga umoja ili kukiimarisha chama wakati huu wa kuelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu ,lengo likiwa…