JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Aliyekuwa RC Simiyu apandishwa kizimbani Mwanza

Na Isri Mohamed Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka moja la kulawiti, leo Jumanne Julai 09, 2024. Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Mkoa…

Katavi kupata umeme wa gridi ya Taifa Septemba mwaka huu

📌 Dkt. Biteko atahadharisha hakuna visingizio 📌 Apongeza wananchi Mpanda, Kupokea miradi ya Maendeleo 📌 Rais Samia kufanya ziara Katavi Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati-KATAVI Hatimaye Mkoa wa Katavi unatarajiwa kuingizwa katika matumizi ya umeme…

Jaji Mutungi avitaka vyama vya siasa kuachana na migogoro ifanye demokrasia ya kistaarabu

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Msajili wa vyama Vya Siasa Nchini Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama vyote vya siasa kufuata sheria za usajili na katiba zao za vyama pale wanapofanya shughuli za ikiwemo uchaguzi wao wa ndani ili…

Jane Goodall apewa barabara Kigoma Ujiji

Halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji imempa jina la barabara Mwanamazingira maarufu duniani Mama Jane Goodall kwa mchango wake katika uhifadhi na utunzaji mazingira mkoani Kigoma sambamba na mchango wake wa kuitangaza hifadhi ya Taifa ya Gombe. Uzinduzi wa jina…

Jaji Mkuu afanya ziara maeneo ya uhifadhi wa nyaraka za mashauri Kanda ya Dar

• Asisitiza kuendelea kwa zoezi la kudijiti nyaraka za Mahakama kwa urahisi wa rejea Na Mary Grwera, Mahakama-Dar es Salaam Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma leo tarehe 09 Julai, 2024 amefanya ziara ya ukaguzi wa maeneo matatu ya…

Taasisi 1,147 zajiandikisha kwenye mfumo mpya wa ununuzi kielekloniki (NeST)

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam IMEELEZWA kuwa hadi sasa taasisi nunuzi 1,147 zimeshajiandikisha kwenye mfumo mpya wa ununuzi wa kielektroniki (NeST) pamoja na wazabuni zaidi ya 22,000 kutoka katika makundi makuu matatu ambayo sheria mpya ya Mamlaka hiyo…