JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Waziri Kairuki : Tunataka kuona TAFORI iliyoboreshwa

Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Morogoro Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) ametoa rai kwa Watumishi wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (Mb) kutimiza wajibu wao kuhakikisha Taasisi y Tunataka kuona TAFORI iliyoboreshwa inaboreka na hatimaye kuchangia katika…

Wafungwa/mahabusu zaidi ya 7,000 wanufaika na kampeni ya Mama Samia Legal Aid

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMPENI ya msaada wa kisheria ya Mama Samia Legal Aid imeanza kuzunguka kwenye magereza mbalimbali nchini kuwapa msaada wa kisheria wafungwa na mahabusu na mpaka sasa imeshawahudumia zaidi ya 7,000. Hayo yamesemwa leo…

Mchezo wa soka watumika kuhamasisha vijana kujitokeza kushiriki kwenye uchaguzi

Ili kufikia malengo ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Mwezi October mwaka huu 2024,wadau wa michezo mkoani Njombe wameanza kutumia michezo ikiwemo mpira wa miguu kuhamasisha wananchi hususani vijana kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura na kushiriki uchaguzi….

Aliyekuwa RC Simiyu apandishwa kizimbani Mwanza

Na Isri Mohamed Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka moja la kulawiti, leo Jumanne Julai 09, 2024. Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Mkoa…

Katavi kupata umeme wa gridi ya Taifa Septemba mwaka huu

📌 Dkt. Biteko atahadharisha hakuna visingizio 📌 Apongeza wananchi Mpanda, Kupokea miradi ya Maendeleo 📌 Rais Samia kufanya ziara Katavi Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati-KATAVI Hatimaye Mkoa wa Katavi unatarajiwa kuingizwa katika matumizi ya umeme…

Jaji Mutungi avitaka vyama vya siasa kuachana na migogoro ifanye demokrasia ya kistaarabu

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Msajili wa vyama Vya Siasa Nchini Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama vyote vya siasa kufuata sheria za usajili na katiba zao za vyama pale wanapofanya shughuli za ikiwemo uchaguzi wao wa ndani ili…