JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Trafiki wanne wafukuzwa kazi Kilimanjaro

Mtakumbuka Mei 30,2024, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa ya kushikiliwa Askari Polisi wanne (4) kwa ajili ya uchunguzi. Askari hao walikuwa wanafanya kazi kitengo cha usalama barabarani Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro. Baada ya uchunguzi kukamilika ilibainika kuwa, askari hao…

Namtumbo waomba huduma za kibingwa za uchunguzi na matibabu ya moyo zinakuwa endelevu

Na Cresensia Kapinga, JamuhuriMedia, Namtumbo WAKAZI wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, wameiomba Serikali kuhakikisha huduma za kibingwa za uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo zinakua endelevu ili kuwafikia wananchi wengi hasa wanaoishi maeneo ya vijijini. Wametoa ombi hilo…

e-GA -Tumieni mfumo wa e – Mrejesho kuwasilisha kero zenu serikalini

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma WANANCHI wametakiwa kutumia mfumo wa kupokea maoni, malalamiko au pongezi Serikalini (e-Mrejesho), ili kuwasilisha maoni yao na Serikali iweze kuyafanyia kazi kwa wakati. Wito huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Mhandisi Benedict…

Dk Mpango ataka msukumo utolewe kwa vijiji, vitongoji visivyo na umeme

📌 Apongeza utayari wa Wizara ya Nishati kushughulikia changamoto zinazojitokeza 📌 Kapinga aagiza REA/ TANESCO kupeleka umeme Rugamba, Kigadye na Kiziba wilayani Buhigwe 📌 Aahidi umeme kufika kwenye maeneo yote yenye changamoto Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Makamu wa Rais,…

Tanzania mfano wa kuendeleza wachimbaji wadogo

Na Wizara ya Madini  Sekta ya Madini ni moja ya nguzo muhimu za uchumi wa Tanzania. Pamoja na mchango mkubwa unaotolewa na Migodi mikubwa inayomilikiwa na Kampuni za ndani na nje ya Taifa sambamba na zile za ubia baina ya…

Dkt Mpango: Msitumie magari ya serikali kwenda baa

 MAKAMU wa Rais Dkt.Philip Mpango amewaagiza wakuu wa wilaya za mkoa Kigoma kufuata maadili ya uongozi katika kutumia magari waliyokabidhiwa kwa kuleta tija katika kusikiliza kero za wananchi na kuzifanyia kazi badala ya kutumika magari hayo kwenda baa. DK Mpango…