JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wanaume kutoka jamii ya Kimasai watetea maslahi ya wanawake

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Kwa miongo kadhaa wanawake kutoka jamii za pembezoni ikiwemo ya kimaasai wamekuwa hawapewi kipaumbele kwenye masuala mengi kama elimu, uongozi na kiuchumi. Kutokana na changamoto hizo, serikali kwa kushirikiana na mashirika yasiyo ya kiserikali ya…

DCEA yasihi watu wa forodha kuongeza umakini kwenye ukaguzi bidhaa

Na Alex Kazenga, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imewasihi watumishi wa forodha kuzifanyia ukaguzi wa kina bidhaa zinazoingizwa na kutoka nchini, ikidaiwa wahalifu wa dawa za kulevya huzitumia kuvusha skanka; JAMHURI…

Shirikisho la Umoja wa Machinga nchini kufanya mabadiliko ya katiba

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia -Dar es Salaam Shirikisho la Umoja wa Wamachinga Tanzania (SHIUMA) limenuia kufanya mabadiliko ya Katiba katika mikoa yote nchini ili kuweza kuondoa mapungufu mengi yaliyomo kwani imesababisha baadhi ya Vyama vya Wamachinga kushindwa kujiunga na Shirikisho…

Wizara ya Fedha yakemea nyonya damu, Watanzania watakiwa kulinda fedha zao

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha WIZARA ya fedha imetoa rai kwa Watanzania hususan makundi ya akinamama na wajasiriamali kujiepusha na mikopo ya udhalilishaji isiyo rasmi na badala yake watumie Taasisi zilizosajiliwa na kutambulika ili kulinda fedha zao. Aidha imekemea Taasisi…

Bashe: Mpina uwe na shukrani kwa Serikali, chezea sekta nyingine si kilimo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Igunga Waziri wa Kilimo Husein Bashe (Mb) amemtumia salamu mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuwa awe na shukrani kwa Serikali achezee sekta nyingine sio kilimo ambayo ni tegemeo kwa Taifa. Amesema chokochoko za uongo za mbunge…

Jafo aipa tano TPA uboreshaji miundombinu ya kutolea huduma katika bandari zake

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake hali iliyoongeza kasi na ubora wa kuhudumia meli na…