JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Dk Mpango aitaka Wizara ya Mambo ya Ndani kuharakisha upatikanaji vitambulisho vya Taifa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema tayari maelekezo yametolewa kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhakikisha inaharakisha upatikanaji wa vitambulisho vya Taifa ili kuondoa adha wanayopitia wananchi wa Kigoma na…

Aziz Ki bado yupo sana kwa wananchi

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam BAADA ya gumzo la muda mrefu kila mmoja kiazungumza lake, hatimaye Klabu ya Yanga leo Julai 10, 2024 imethibitisha rasmi kuwa mchezaji wao Aziz Ki bado ataendelea kusalia klabuni kwako. Baada tu ya…

Chama cha waandishi wa habari Pwani, chawashika mkono Shalom

CHAMA Cha Waandishi wa Habari Wanawake Mkoa wa Pwani (PWMO), kimetoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu (Shalom) kilichopo Msangani, Halmashauri ya Mji Kibaha. Misaada hiyo ni pamoja na mchele, unga, sukari, mafuta…

‘Legezeni gharama wananchi wapikie umeme’

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) sanjari na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kulegeza bei ya umeme, ili mwananchi asiogope kupikia umeme badala ya nishati nyingine. Akiwa katika ziara yake kutembelea…

John Bocco atambulishwa JKT Tanzania

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, John Bocco ametambulishwa kuwa mshambuliaji wa Klabu ya JKT Tanzania. Bocco ambaye ndiye kinara wa mabao katika Ligi Kuu ya Tanzania tayari ameshaanza mazoezi na klabu yake mpya tayari…

TALIRI yaja na ufumbuzi malisho kwa wafugaji

TASISI ya Utafiti wa Mifugo Tanzania ( TALIRI), imesema ili kufuga kisasa, inahitajika malisho ya kutosheleza kwa mwaka mzima. Mtafiti Mwandamizi kutoka Taliri, Walter Mangesho amesema hayo kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu…