Year: 2024
Waziri Mavunde awataka Watanzania kuchangamkia manunuzi ya bidhaa ya trilioni 3.1 migodini
–Azindua rasmi Chama cha Watoa Huduma na Wauzaji wa Bidhaa Migodini –Afurahishwa na Watanzania kuzingatia ubora –Awataka kushirikiana na kusaidiana –Rais Samia apongezwa kuvutia uwekezaji Dar es salaam Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amewataka watanzania wanaoshiriki kwenye mnyororo wa…
Dk Biteko ahimiza wanawake kutumia mifuko ya uwezeshaji wananchi kiuchumi
📌Asisitiza Benki Kuendelea Kuhudumia Watanzania 📌 Azindua Mwongozo wa Uratibu na Usimamizi wa Mifuko na Programu za Uwezeshaji 📌Programu ya Imarisha Uchumi na Samia Kukomboa Wananchi 📌 Asisitiza Watanzania Kuchagua Viongozi Bora Serikali za Mitaa Na Ofisi ya Naibu Waziri…
Mkunda awavisha nishani majenerali wa JWTZ kwa niaba ya rais
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Mhe Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali Majenerali, Maafisa na Askari wa JWTZ mjini Morogoro tarehe 14 Septemba…
Viongozi soko la Machinga Dodoma wasimamishwa kupisha uchunguzi
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Viongozi wa soko la wazi la Machinga lililopo Mtaa wa Kitenge, Kata ya Majengo katika Jiji la Dodoma, wamesimamishwa uongozi kupisha uchunguzi kutokana na kudaiwa kutenda makosa ya kiuongozi na kijinai kwa wafanyabiashara wa soko hilo….
Airpay Tanzania wadhamini tamasha la pili fahari ya Zanzibar, Rais Mwinyi kulizindua
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni ya Airpay Tanzania imedhamini tamasha la pili la fahari ya Zanzibar linalotarajiwa kufanyika Septemba 20 hadi 27 mwaka huu huku Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi…
Women Tapo na AKHST wasaini makubaliano kusaidia huduma za afya kwa wanawake wachuuzi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIKA kuhakikisha wanawake wanaofanya biashara masokoni na wachuuzi wanapata huduma bora za Afya, Taasisi ya Women Tapo na Aga Khan Health Service, Tanzania (AKHS, T) wamesaini mkataba wa makubaliano wa kushirikiana katika kushugulikia…