JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Bandari bubu zatajwa mihadarati kuingia Z’bar

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar imesema uchunguzi wao umeonesha dawa nyingi za kulevya zinazoingizwa visiwani humo zinatoka Tanzania Bara kupitia bandari bubu. Kamishna Mkuu wa mamlaka hiyo, Burhani Zuberi Nassor amesema hayo jana…

ACT -Wazalendo wataka kiswahili iwe lugha ya kufundishia

CHAMA cha ACT- Wazalendo kimeishauri serikali kubadili sera na kukifanya kiswahili kuwa lugha ya kufundishia na kujifunzia kwa ngazi zote za elimu, kisha kingereza na lugha zingine zifundishwe kama masomo. Waziri Kivuli wa Elimu, Sayansi na Teknolojia wa chama hicho,…

Ubalozi wa Ufaransa kuadhimisha leo sikukuu ya Julai 14

”UBALOZI WA UFARANSA KUADHIMISHA SIKUKUU YA JULAI 14 ,LEO HII” Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kihistoria Tarehe ya Julai 14 ya mwaka 1789 inabaki kuwa tarehe muhimu zaidi katika historia ya mambo ya kisiasa mlnchini Ufaransa. Kwa mujibu…

Waziri Mkuu awajulia hali wagonjwa Muhimbili

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali Rose Job, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam kwa matibabu, wakati alipokwenda katika hospitali hiyo kuwajulia wagonjwa, Julai 10.2024. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohammed Janabi. (Picha…

Manyoni yajipanga utatuzi changamoto ya wanyamapori wakali na waharibifu

Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni ni miongoni mwa Halmashauri za Wilaya 91 nchini zinazokabiliwa na migongano kati ya binadamu na wanyamapori wakali na waharibifu, ambapo imekuwa ikipata madhara mbalimbali ikiwemo uharibifu wa mashamba hekari mia mbili themanini katika vijiji kumi…

Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Simba John Bocco kuichezea JKT

Na Magrethy Katengu–Jamuhuri media Dar es salaam JKT Tanzania Wamesajili wachezaji akiwemo aliyechezea zamani wa klabu ya Simba John Raphael Bocco kwani alikuwa huru na wanaimani kupitia kiwango chake timu itafika mahali pazuri kwa kupata kombe au kuwa katika nafasi…