JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

UDSM, OSLO ilivyodhamiria kupunguza mtanziko katika utoaji huduma za afya nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya KATIKA mfumo wa afya wa Tanzania, watoa huduma za afya wanakutana na changamoto nyingi za kimaadili wakati wa kufanya maamuzi ya kutibu wagonjwa. Changamoto hizi, ambazo mara nyingi huleta mitanziko (dilemma), zinaweza kusababisha vifo kwa…

Mashindano ya Gofu ya kumuenzi Lina Nkya kuendelea leo Arusha

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Baada ya Morogoro mwezi Aprili mwaka huu sasa ni zamu ya Arusha katika viwanja vya Gymkana ambapo mashindano ya Gofu kwa ajili ya kumuenzi mchezaji wa zamanı wa timu ya taifa ya wanawake…

UDOM yawakaribisha wadau kushirikiana kutengeneza tiba lishe

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Profesa Lughano Kusiluka, ametoa wito kwa wadau mbalimbali kushirikiana na chuo hicho ili kuweza kutengeneza tiba lishe zitakazosaidia kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza. Aidha Profesa Kusiluka…

Dkt. Mpango asisitiza elimu kuepuka maradhi

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesisitiza umuhimu wa wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii kuwasaidia wananchi kwa kutoa elimu kuepukana na maradhi mbalimbali. Ametoa wito huo mara baada ya kutembelea Zahanati ya Kijiji cha Kasumo akiwa wilayani Buhigwe mkoani…

Jela miaka sita kwa kumtukana rais wa Uganda

Mahakama nchini Uganda imemhukumu kijana wa miaka 24 kifungo cha miaka sita jela kwa kumtusi rais na familia yake kupitia video yake iliyowekwa kwenye TikTok. Edward Awebwa alishtakiwa kwa matamshi ya chuki na kueneza taarifa “za kupotosha na zenye nia…

Rais wa Sudan Kusini amfukuza kazi waziri wa fedha

Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amemfukuza kazi Waziri wa Fedha Awow Daniel Chuong ambae amehudumu katika nafasi hiyo kwa kipindi cha miezi minne, huku sababu za uwamuzi huo hazikuwekwa hadharani. Katika miaka ya hivi karibuni, Uchumi wa Sudan Kusini…