JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

TEF yalaani kitendo cha walimu Kwembe kumshambulia mwandishi wa habari

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limesikitishwa na kitendo cha kushambuliwa kwa mwandishi wa habari wa Kampuni ya The Guardian, Dickson Ng’hily, kilichofanywa na walimu wa Shule ya Msingi Kwembe Wilayani Ubungo, Dar es…

CBE yajivunia kuanzisha Master’s kwa njia ya mtandaoni

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKUU wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Tinda Lwoga amesema mabadiliko ya kiteknolojia yamechangia wao kuanzisha kwa kozi za Shahada ya Uzamili (Master’s) kwa njia ya mtandao. Ameyasema hayo alipotembelea banda lao…

PURA yajipanga kuongeza wawekezaji

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWENYEKITI wa bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli na Gesi Asilia (PURA), Halfani Halfani ametoa wito kwa Watanzania na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kushiriki katika…

Watuhumiwa kesi ya mauaji mtoto albino waangua kilio mahakamani

Na Isri Mohamed Watuhumiwa tisa wa mauaji ya mtoto mwenye Ualbino, Asimwe Novart wamefikishwa tena katika mahakama ya hakimu mkazi Bukoba leo Julai 12, 2024 kwa ajili ya kutajwa mashtaka yao ambapo baadhi yao wameonekana wakimwaga machozi. “Serikali bado inaendelea…

Matumizi ya umeme jua kwa wakulima yatawapunguzia gharama, wengi hawafahamu

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania, kama nchi nyingi zinazoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kilimo, ikiwa ni pamoja na uzalishaji mdogo, upotevu mkubwa wa mazao baada ya mavuno, na utegemezi mkubwa wa hali ya hewa. Hata hivyo,…

Shehe asimamishwa kazi kwa kufungisha ndoa feki

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora BARAZA la Mashehe Mkoani Tabora limemsimamisha kazi Shehe wa Kata ya Kidatu katika Halmashauri ya Manispaa Tabora, Bakari Sikonge, kwa kukiuka maadili ya dini kwa mujibu wa katiba inayoongoza Baraza hilo. Akitoa maamuzi hayo jana…