JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Wadau wa masuala ya kidigitali waomba kutambulika kama wafanyabiashara

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WADAU wa masuala ya kidigitali nchini wamemuoamba Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Selemani Jafo kuanza kuangalia kwa mapana zaidi sekta hiyo hasa upande wa usafirishaji fedha kidigitali yenye lengo la kuleta mabadiliko…

CRDB yazidi kuwainua wanawake kiuchumi, yaweka akaunti maalumu ya Malkia

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIKA kuhakikisha inawainua wanawake kiuchumi, Benki ya CRDB imeendelea kuwawezesha kwa kufungua akaunti ya Malkia ambayo itakuwa ni yenye malengo yakinifu na manufaa kwa maendeleo kwa wanawake. Akizungumza katika banda lao lililopo katika…

PURA: Asilimia 80 ya Watanzania kutumia nishati safi ya kupikia ifikapo 2034

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Mhandisi Charles Sangweni, amesema kuwa wamejiwekea malengo ifikapo mwaka 2034, matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa wananchi yafikie asilimia…

Watu zaidi ya 200 waunganishiwa Huduma ya Faiba Mlangoni katika maonesho Sabasaba

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesema watu zaidi ya 200 wameungashiwa huduma ya ‘Faiba Mlangoni’ katika maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (DITF) maarufu kama Sabasaba. Hayo yamebainishwa na…

Tume ya Madini yatahadharisha waombaji leseni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TUME ya Madini katika kuhakikisha wananchi wananufaika na rasilimali madini, imeendelea kutoa huduma kwa wazawa ya kuwasajili katika mfumo wa uombaji leseni mtandaoni huku wakitahadharishwa kuzingatia sheria ya madini ili wasipoteze sifa za…

Ayubu Rioba: Vyombo vya habari vya Afrika shirikianeni na kubadilishana maudhui

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania TBC Dkt .Ayubu Rioba Chacha amevishauri vyombo vya habari vya Afrika kushirikiana na kubadilishana maudhui badala ya kuchukua kutoka taasisi za Magharibi taarifa ambazo zimekuwa na mitazamo…