Year: 2024
Serikali kuendelea kutekeleza mkakati wa nishati safi ya kupikia
šKapinga asema lengo ni kuwafanya Watanzania zaidi ya asilimia 80 kutumia nishati safi ifikapo 2034. šKwa mwaka huu wa fedha mitungi laki nne kutolewa. šAtoa rai kwa Watanzania kuendelea kuhamasishana matumizi ya nishati safi ya kupikia. Naibu Waziri Nishati, Judith…
Waziri Jafo ataka wananchi kuacha kuchanganya mazao
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Selemani JafoĀ ametoa rai kwa Watanzania kuacha kuchanganya mazao ili kutokuharibu au kupunguza thamani ya mazao hayo katika soko la kimataifa na kuharibu taswira ya Tanzania. Dkt.Jafo ameyasem…
Asilimia 75 ya Watanzania wanatumia simu za mkononi, milioniĀ 35 wanatumia mtandao wa intanenti
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Serikali imewahakikisha wananchi wanaofanya shughuli zao kupitia mitandao kuwa wapo salama zaidi na Serikali imetunga Sheria ya kulinda data za mtu binafsi katika matumizi ya mtandao na kila mtumiaji analindwa na hairuhusiwi kutumia data za…
Uvimbe uliomtesa kwa miaka 10 watolewa na mabingwa wa Rais Samia
Madaktari Bingwa wa Samia Suluhu Hassan wamefanikiwa kumtoa uvimbe wenye uzito wa gramu 800 kwenye kizazi mgonjwa alioishi nao kwa zaidi ya miaka 10. Hayo yamebainishwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya wanawake na uzazi, Dkt. Emmanuel Imani Ngadaya kutoka…
TASAC yakabidhiwa boti na Ofisi ya Waziri Mkuu kuimarisha ulinzi wa bahari
Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu imelitaka Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kushirikiana na taasisi nyingine za kisekta kuwa na mkakati wa matumizi ya boti katika kukabiliana na vitendo vya kihalifu…
TAEC kuwa mlezi wa programu maalum ya diploma masomo ya teknolojia ya nyuklia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) Prof. Najat Kassim Mohammed amesema taasisi hiyo itakuwa mlezi wa programu maalumu ya diploma ya masomo ya teknolojia ya nyuklia itakayoanzishwa na chuo cha ufundi…