JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Rais Mwinyi azitaka taasisi za biashara kuondoa urasimu

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amezitaka taasisi za biashara kuondoa urasimu ili kutengeneza biashara zaidi Kwa mustakabali wa kujenga uchumi wa nchi. Amesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati akifunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa…

Viongozi wa dunia walaani shambulio dhidi ya Trump

Viongozi wa nchi mbalimbali duniani wamelaani shambulio la risasi lililomjeruhi sikioni aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump Msemaji wa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani na kuliita tukio hilo kuwa ni vurugu za kisiasa. Kwa upande wake…

Tunaondoka Mbulu DC tukiwa tumeridhika kabisa ya kwamba mmemtendea haki Dkt. Samia na hata sisi pia

Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Mbulu Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa uhuru Kitaifa Godfrey Eliakimu Mnzava ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu chini ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Abubakar Kuul na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Joseph Mandoo na Mbunge…

Polisi wachunguzwa kuhusu miili iliyotupwa Kenya

Mamlaka huru inayosimamia Jeshi la Polisi nchini Kenya IPOA imesema inachunguza polisi waliohusika kwa njia yoyote kufuatia ugunduzi wa miili iliyokatwakatwa na kutupwa kwenye shimo la jalala mjini Nairobi. Awali polisi walisema miili kadhaa iliyokatwakatwa ya wanawake sita iliyofungwa kwenye…