Year: 2024
Dk Ndumbaro achaguliwa Mwenyekiti Kamati Maalum ya Mawaziri wa Sheria ya Umoja wa Afrika
Na Lookman Miraji Waziri wa Katiba na Sheria Dkt: Damas Ndumbaro amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Baraza Maalumu la Mawaziri wa Sheria la umoja wa Afrika katika kikao kilichowakutanisha mawaziri, mabalozi na wataalamu katika sekta ya sheria ya umoja wa Afrika….
Ripoti ya mwaka ya Tanzania, Urusi kuelekea nchi ya ahadi
Na Lookman Miraji Ikiwa ni mwezi Disemba ambapo hivi karibuni mwaka 2024 utakwenda kuhitimika kwa sikukuu za mwisho mwaka, mataifa mawili ya Tanzania na Urusi yameendelea kudumisha ushirikiano wake uliokuwepo tangu miongo kadhaa nyuma. Ushirikiano kati ya Tanzania na taifa…
REA kusambaza mitungi ya gesi 19,530 mkoani Singida
📌Wananchi 3,255 kila wilaya ya mkoa huo kunufaika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA); kuanzia tarehe 20 Januari, 2025 itaanza kusambaza mitungi ya gesi ya kilo 6 mkoani Singida ili kusaidia Wananchi kutumia…
Dk Biteko: Kagera bado ina fursa ya kuongeza uzalishaji wa kahawa
📌Dkt. Samia aweka historia kupandisha bei kahawa kutoka 1200 hadi 6,000 kwa kilo 📌Dkt. Biteko ampongeza Rais Samia kwa jitihada zake za kutatua changamoto za zao la kahawa Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Hivi karibuni…
Dk Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
📌 Ni ya Uzalishaji na Usafirishaji umeme 📌 Lengo ni kuhakikisha uwepo wa umeme wa uhakika Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu ametembelea miradi mbalimbali ya uzalishaji na usafirishaji umeme inayoendelea kwa lengo la kufahamu utekelezaji…
Rais Mstaafu Dk Ali Mohamed Shein aweka jiwe la msingi jengo la Mahakama Mkoa wa Kaskazini Unguja
Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya saba Dk Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mhandisi Mussa Hamad akitoa maelezo kuhusiana na Jengo katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Mahkama ya Mkoa wa Kaskazini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka…