Year: 2024
Tamasha la utamaduni kitaifa lafunguliwa Songea
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro amewaasa watanzania kuzingatia miiko, mila na desturi za kitanzania na kuwarithisha watoto na vijana ili kujiepusha na tamaduni za kigeni zisizofaa kwa jamii. Aidha, ameitaka Mamlaka…
Kafulila aipongeza CBE kwa ubunifu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMISHNA wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, amevitaka vyuo vya umma nchini kutumia sekta binafsi kujenga mabweni na miradi mbalimbali kwa ubia na sekta binafsi bila kutegemea…
Rais Mwinyi aipongeza Airpay uzinduzi mifumo ya kidijitali ya ZEEA
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Kampuni ya Airpay Tanzania kwa kudhamini Tamasha la pili la Fahari ya Zanzibar lililoandaliwa na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA)…
Uchunguzi wa kisayansi umesaidia kuunganisha wahalifu na tuhuma zinazowakabili kiurahisi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JESHI la Polisi nchini limeungana na wadau wengine dunia katika maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya uchunguzi wa sayansi ya Jinai (Forensic Day) leo Septemba 20, 2024 katika Chuo cha Taaluma ya Polisi…
Wanachama wa CHADEMA, ACT- Wazalendo 62 wahamia CCM Kibaha Mji
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Wanachama wa vyama vya upinzani 62 Kibaha Mji, Mkoani Pwani wamejiunga na CCM na kuahidi kuwa waaminifu na kukisaidia Chama cha Mapinduzi kikamilifu katika Chaguzi zijazo. Vyama ambavyo wanachama hao wanatokea ni ACT WAZALENDO wanachama…