Year: 2024
TPA: Ujenzi wa bandari mpya ya Mbamba Bay kuleta ajira, kukuza uchumi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Mbamba Bay Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari hapa nchini (TPA) imesema kuwa ujenzi wa bandari mpya ya kisasa wa Mbamba Bay unaogharimu kiasi cha bilioni 75.8 ni mradi mkubwa wa kimkakati ambao utaleta manufaa makubwa kwa taifa…
Rais Samia aanza ziara Ruvuma leo
· RC Ruvuma aweka wazi kazi atakazofanya Rais Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Jumatatu anaanza ziara ya kikazi Mkoani Ruvuma Jumatatu ambayo ataihitimisha siku ya tarehe 28 mwezi huu. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Ahmed…
Rais Samia mgeni rasmi Tamasha la Utamaduni Songea, Rais Samia, Ndumbaro atembelea maonesho
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea WAZIRI wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt.Damas Ndumbaro ametembelea na kukagua mabanda ya maonesho ya Tamasha la Tatu la Utamaduni kitaifa ambalo kilele chake ni Septemba 23, mwaka huu, huku mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa…
MIAKA 10 YA RSA: Mwakihaba atoa onyo kwa madereva wanaovunja sheria
Mwamvua Mwinyi,.JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Pwani, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Edson Mwakihaba, amewataka madereva wa vyombo vya moto kuheshimu alama, michoro ya barabarani na kuacha kutumia vileo kwa ajili ya kutoa uchovu ili kuepusha ajali…
Rais Samia kuutembelea Mkoa Ruvuma, wananchi watakiwa kujitokeza kumpokea
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea WANANCHI mkoani Ruvuma wametakiwa kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa jJamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajia kufanya ziara ya kikazi siku sita kuanzia Septemba 23, mwaka huu. Hayo yamesemwa na Mkuu…
Bashe aleta tabasamu Namtumbo, awarejeshea hekta 3000 kwa wakulima
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Namtumbo WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe (mb) ameleta kicheko kwa wananchi wa Lwinga Wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma baada ya kurejesha hekta zaidi ya 3000 kati ya hekta 6,580 za shamba la Serikali kwa wakulima. Waziri Bashe,…