JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Matembezi ya utulivu rasmi kufanyika Julai 20

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi isiyo ya kiserikali ya ”Utulivu” kwa kushirikiana na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na michezo inatarajia kuendesha matembezi maalum ya Utulivu mwishoni mwa wiki hii. Akizungumza katika mkutano na wanahabari mapema leo hii…

Trump amchagua JD Vance kama mgombea mwenza wake

Donald Trump amemteua Seneta wa Ohio JD Vance kuwa makamu wake wa rais. Wajumbe wa Kongamano la Kitaifa la chama cha Republican walimchagua rasmi Bw Vance, 39, Jumatatu baada ya Trump kutangaza kwenye mtandao wake wa kijamii kuwa amemchagua baada…

Pandu aiomba Serikali kuligawa Jimbo la Namtumbo ili kurahisisha upatikanaji huduma

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Namtumbo MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Juma Pandu ameiomba Serikali kuona umuhimu wa kuligawa jimbo la Namtumbo ili wananchi waweze kupata huduma mbalimbali kwa urahisi tofauti na hivi sasa jimbo hilo lina…

Maandamano yarejea tena kudai uwajibikaji Kenya

Maandamano ya amani yamerejea kote nchini Kenya kudai uwajibikaji na kuwakumbuka waliouawa katika wiki tatu za kupinga Mswada wa fedha wa 2024 uliotupiliwa mbali. Hali ni ya wasiwasi katikati ya jiji la Nairobi ambako maduka yamefungwa na idadi ya watu…

Rais Kagame ashinda kwa kishindo matokeo ya awali uchaguzi Rwanda

Rais wa Rwanda Paul Kagame yuko mbioni kuongeza utawala wake wa miaka 24 kwa miaka mingine mitano katika ushindi wa kishindo, huku kura nyingi zikihesabiwa kutoka katika uchaguzi wa Jumatatu. Ana 99.15% ya kura kufikia sasa, na takribani asilimia 79…