JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

JKCI kutanua huduma za matibabu ya moyo nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kupeleka huduma za uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo katika maeneo mbalimbali nchini kwa kufungua kliniki za matibabu kuwapunguzia wagonjwa adha ya kufuata huduma hizo Dar…

Rais Dkt. Samia atoa miezi mitatu Mradi wa Maji Mtyangimbole uanze kufanya kazi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa miezi mitatu kwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na watendaji wake kuhakikisha mradi wa maji wa Mtyangimbole unaanza kufanya kazi. Rais…

Watano kizimbani wakijifanya wakala wa kampuni za simu na kuibia watu Dar

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Watu watano wamepandishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakikabiliwa na mashtaka 23 likiwemo la kuongoza genge la uhalifu na wizi wa fedha kiasi cha Sh 3,600,000. Washtakiwa katika kesi hiyo ni Wangina…

Mashambulizi Israel yaua watu 490

 Israel imezidisha vita vyake dhidi ya wanamgambo wa Hezbollah nchini Lebanon Septemba  23, huku vita hiyo ikiua takriban watu 490 na kujeruhi wengine zaidi ya 1,650 katika mashambulizi makubwa ya anga ambayo yamezua wasiwasi wa kutokea vita vikali. Jeshi la…

Mwangesi: Hauwezi kuwa mwangalizi wa maadili ya watu wengine kama wewe huna maadili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Rai imetolewa kwa Watumishi wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na weledi wa hali ya juu wanapotekeleza majukumu yao. Rai hiyo imetolewa na Kamshina wa…

Tunazikaribisha Ngangari, Ngunguri na Nginjangija?

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Septemba 22, 2024 ni miaka 29 tangu baba yangu mzazi afariki dunia (wakati unasoma makala hii Jumanne Septemba 24, 2024 ni miaka 29 na siku 15). Baba yangu alifariki Septemba 12, 1995 akiwa…