Year: 2024
Meli ya kivita ya Misri yapeleka silaha Somalia
Waziri wa mambo ya nje wa Ethiopia amesema ana wasiwasi kwamba silaha zilizopelekwa nchini Somalia huenda zikaishia mikononi mwa magaidi. Haya yameripotiwa leo na shirika la habari la serikali ya Ethiopia siku moja baada ya meli ya kivita ya Misri…
Rais Samia afungua shule ya msingi mchepuo wa kiingereza ya Chief Zulu Songea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, Teofilo Mbunda kuhusu matumizi ya Computer shuleni hapo, Songea mkoani Ruvuma tarehe…
Rais Samia aweka jiwe la msingi ujenzi wa maghala 28 ya kuhifadhi chakula Luhimba, Ruvuma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameongoza hafla ya uwekaji jiwe la msingi kwa ujenzi wa maghala 28 mapya ya kuhifadhi nafaka katika eneo la Luhimba, Ruvuma. Hafla hii imefanyika Septemba 24, 2024, imekuja kama…
Polisi wachunguza kifo cha Sonii aliyefariki wakati akitoroshwa mikononi mwa Polisi Arusha
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linachunguza tukio la kifo cha mtu mmoja aitwaye Johnson Josephat maarufu kwa jina Sonii (39), Mkazi wa Unga Limited Jijini Arusha aliyefariki dunia tarehe Septemba 23, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya…
Serikali yaipongeza Green Acres kwa kuendelea kufanya vizuri kitaaluma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imeipongeza shule ya msingi na sekondari, Green Acres ya jijini Dar es Salaam kwa namna ambavyo imekuwa ikifanya vizuri katika matokeo ya mitihani ya kitaifa kuanzia ngazi ya Wilaya hadi taifa. Pongezi…
Samia atoa miezi mitatu mradi wa maji Mchangombole Madaba kukamiika Songea
Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia, Songea Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan metoa miezi mitatu kwa wakala wa Maji Vijiji (RUWASA) kukamilisha mradi wa maji wa Mchangombole uliopo Halmashauri ya Madaba wilayani Songea Mkoa wa Ruvuma na amewataka…