JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Watuhumiwa 179 Mwanza wadakwa kwa makosa mbalimbali

Katika kipindi cha mwezi mmoja kuanzia Juni 1 hadi Julai 8, 2024 Jeshi la Polisi wamefanya oparesheni dhidi ya wahalifu na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa 179 wa makosa mbalimbali na kuwafikisha mahakamani huku wengine upelelezi wa kesi zao bado unaendelea. Jeshi…

Mwenge wa Uhuru yaifikia miradi 14 ya zaidi ya thamani bil. 3.3/- Kiteto

Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Kiteto Mwenge wa uhuru Kitaifa umetua Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara na kupitia jumla ya Miradi 14 ya thamani ya zaidi ya bil.3,376,948,330.0, Hayo yalibainishwa Julai 17,2024 na Mkuu wa Wilaya hiyo Remidius Mwema Emmanuel wakati…

Rais Mwinyi akutana na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe.Dider Chassot (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-7-2024 kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha…

Makubaliano ya kuweka chini silaha DRC yarefushwa siku 15

Ikulu ya Marekani imesema makubaliano ya kusitisha mapigano na kuruhusu misaada ya kiutu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamerefushwa kwa siku 15 zaidi ambapo sasa yatafika Agosti 3. Msemaji wa Baraza la Kitaifa la Usalama la Ikulu ya Marekani,…

Msimamizi wa mirathi ajirithisha magari

*Atumia mbinu chafu kupoka haki ya mke mdogo wa kaka yake, mtoto wa miaka mitatu Na Anthony Mayunga, JamhuriMedia, Serengeti Katika hali isiyotarajiwa, Esther Iroga, msimamizi wa mirathi ya Ramadhani Manyabu, anadaiwa kujirithisha magari mawili kinyume cha utaratibu. Esther alichaguliwa…