Year: 2024
Serikali yatoa trekta tano kwa wanaotekeleza Mradi wa BBT Njombe
Waziri wa Kilimo Hussen Bashe ametoa Trekta tano kwa vijana na wanawake katika Wilaya wa Njombe kwa ajili ya mradi wa Kilimo cha jenga kesho iliyo bora (BBT) ili kurahisha shughuli hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Njombe Kissa Gwakissa Kasongwa…
Serikali yaahidi kutumia ndege nyuki kuwaondoa tembo kwenye makazi ya watu Tunduru
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Tunduru Rais Samia Suluhu Hassan amehutubia maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma akisisitiza umuhimu wa maendeleo ya jamii na ushirikiano katika kutatua changamoto mbalimbali ikiwemo ya kuwaondoa Tembo kwa kutumia ndege nyuki kwenye…
Mfumo wa kidigitali wa Airpay na ZEEA kuwarahisishia wajasirimali kupata mikopo kwa urahisi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar KAMPUNI ya Airpay Tanzania imesema kuwa mfumo wa kidigitali walioutengeneza kwa kushirikiana na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA) na taasisi zingine za kifedha utawarahisishia wajasiriamali wa Zanzibar kupata mikopo kwa urahisi na haraka. Hayo…
Watumiaji wa mtandao wa Airtel kunufaika na huduma mpya
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni ya mtandao wa mawasiliano nchini ya Airtel imezindua rasmi kampeni mpya ambayo itawanufaisha watumiaji wa mtandao huo hapa nchini. Kampeni hiyo ijulikanayo kama ‘Jiboost’ imezinduliwa rasmi leo hii katika makao makuu ya…
Mikoa, Halmashauri zaagizwa kushiriki maonesho ya viwanda
๐ Dkt. Biteko awataka Wazalishaji kutumia Fursa ya Umeme Kuzalisha ๐ Aagiza kudhibitiwa njia za Magendo ๐ Ataka Maonesho ya Biashara kuleta Mapinduzi ya Viwanda na Biashara Nchini Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri…