JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Samia kugharamia tiba mtoto aliyenusurika kuchinjwa

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amesema atalipia gharama zote za matibabu kwa mtoto aliyekatwa na kitu chenye ncha kali shingoni Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema mtoto huyo Maliki Hashimu (5) mkazi wa Goba mkoani Dar es Salaam anatibiwa katika…

Mifugo, wizi waathiri ujenzi kiwanja cha ndege Msalato

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mrneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoani Dodoma, Zuhura Aman amesema eneo la ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataaifa cha Msalato Dodoma linakabiliwa changamoto zinazochelewesha ujenzi. Akitoa taarifa ya mradi wa ujenzi mbele…

Mradi wa bil 60/- umwagiliaji kunufaisha wakulima

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuleta mapinduzi sekta ya umwagiliaji hivyo miradi yote aliyoahidi itatekelezwa Bashe alisema hayo akizungumza na wadau wa umwagiliaji katika uzinduzi wa mradi wa umwagiliaji katika bonde la Luiche wilayani…

Waziri Kapinga : Chagueni viongozi watakaotatua kero zenu

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Nyasa. WANANCHI wa Kata ya Chiwanda wilayani Nyasa mkoani Ruvuma wametakiwa kuchagua viongozi bora wa serikali za vijiji na vitongoji kwenye uchaguzi unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu ambao wataweza kuwaletea maendeleo na kutatua changamoto zinazowakabili na…

Tanzania yaunga mkono agenda za Shirika la Utalii Duniani za uwekezaji wa kimkakati na usalama

Na Mwandishi Wetu, Zambia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeunga mkono agenda za Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) kuhusu uwekezaji wa kimkakati katika rasilimali watu kwenye elimu na ujuzi pamoja na agenda ya usalama wa maeneo ya…