JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Dira mpya itafsiri maono ya Rais Samia

MKUU wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amesema kupitia dira mpya anatamani viongozi kuangalia muelekeo wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kutafsiri maono yake katika misingi ya ujenzi wa taifa lenye usawa, haki na uhuru wa watu. Bomboko amesema hayo…

BASATA yamfungia Babu wa Tiktok

Msanii wa Muziki wa Taarabu Seif Kisauji β€˜Babu wa Tik tok’ afungiwa kufanya kazi za Sanaa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Miezi sita na kupigwa faini ya shilingi Milioni 3. Baraza la Sanaa la Taifa kupitia Sheria Na….

Ziara ya Dk Biteko Bukombe yawakosha wakazi

ZIARA YA DKT. BITEKO BUKOMBE YAWAKOSHA WAKAZI KATA NAMONGE πŸ“Œ Waipongeza Serikali ya Rais Samia kuboresha huduma za jamii πŸ“Œ Waomba kujengewa Barabara kusafirisha mazao πŸ“Œ Dkt. Biteko aagiza kukamilishwa, kutumika Zahanati Kijiji Ilyamchele πŸ“Œ Awahakikishia ukarabati wa Barabara ipitike…

NIDA : Vitambulisho vilivyofutika maandishi virejeshwe

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewataka wananchi wote ambao vitambulisho vyao vimepata hitilafu ya kufutika maandishi kuvirejesha katika ofisi za NIDA ama katika ofisi za Serikali za Mitaa, Kata, Vijiji na Shehia ambako vitakusanywa na kurejeshwa kwa ajili ya…