Month: June 2024
Polisi Rukwa yamshikilia Anifa kwa tuhuma za kumtupa mtoto chooni baada ya kujifungua
Na Israel Mwaisaka, JamhuriMedia, Rukwa Jeshi la Polisi mkoani Rukwa linamshikilia mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Anifa Mwanawima (36) mkazi wa Kijiji Cha Mashete wilayani Nkasi Kwa kosa la kumtupa mtoto wake chooni baada ya kujifungua. Kwa mujibu wa…
Jaji Feleshi azindua Kliniki ya Ushauri, Elimu ya Sheria kwa Umma Dodoma
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi amezindua Kliniki ya Ushauri na elimu ya Sheria kwa Umma inayokusudia kusogeza huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi ili kupunguza migogoro dhidi ya Serikali na kupata…
Rais wa Kenya akabiliwa na wakati mgumu baada ya siku ya umwagaji damu
Baada ya siku ya maandamano, ghasia na umwagaji damu, Rais wa Kenya William Ruto alihutubia taifa kwa ujumbe wa huzuni na wenye nguvu. Akisema maandamano “halali” dhidi ya sera zake “yametekwa nyara na kundi la wahalifu waliopangwa,” alionya serikali yake…
ICC yatoa waranti ya kukamatwa viongozi waandamizi wa Urusi
Mahakama ya Kimaitaifa ya ICC imetoa waranti ya kukamatwa kwa waziri wa zamani wa ulinzi wa Urusi, Sergei Shoigu na jenerali wa juu, Valery Gerasimov, wanaodaiwa kuhusika na uhalifu katika vita vya Urusi Ukraine. Shoigu aliondolewa kwenye wadhifa wake wa…
Tujenge desturi ya kulipa kodi kwa maendeleo ya Taifa letu
Tukiwa tunaelekea kupokea bajeti mpya ya serikali ya 2024/2025 ikijadiliwa bungeni kwa mujibu wa sheria, pia nasi katika jamii tukieendelea kuifuatili kwa ukaribu na umakini mkubwa. Hii haimaanishi kwamba suala hili ni la wanasiasa sio kwakuwa bajeti ndio taswira na…
Tuone umuhimu wa kuchangia damu hakuna mbadala wake
Na John Haule, JamhuriMedia, Arusha Kila ifikapo Juni 14 dunia huadhimisha siku ya mchangia damu. Katika siku hii hamasa huwa kubwa zaidi lakini ukweli ni kwamba suala la uchanguaji wa damu halina siku maalumu kutokana na umuhimu wake. Nasema hivi…