Month: June 2024
Urusi yafungia matangazo vyombo 81 vya habari vya Ulaya
Urusi imetangaza kuzifungia vyombo vya habari 81 vya Ulaya kutangaza kwenye ardhi ya yake. Katika taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi iliyotolewa Jumanne orodha hiyo inajumuisha vituo 77 vya habari, magazeti, majarida na machapisho ya mtandaoni kutoka…
Muswada wa Fedha 2024; Bunge laidhinisha, wanajeshi kulinda amani Kenya
Bunge la Kenya limeidhinisha ombi la Baraza la Ulinzi la kutumiwa kwa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kutoa ulinzi kufuatia maandamano ya kupinga muswada wa Fedha kote nchini. Kulingana na Waraka wa Amri ya Ziada iliyopangwa Jumatano, Juni 26,…
Zaidi ya wagonjwa 160 wanapata matibabu Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta kufuatia maandamano
Zaidi ya wagonjwa 160 wanapokea matibabu katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta kufuatia maandamano ya jana ya kupinga ushuru. Kaimu mkuu wa upasuaji katika hospitali hiyo Dk Benjamin Wabwire anasema wagonjwa wengi waliletwa wakiwa na majeraha mbalimbali , sita walikuwa…
Ofisi ya Makamu wa Rais yasajili miradi 9,061 ikiwemo ya hifadhi ya mazingira
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imesema imesajili miradi zaidi ya 9,061 ikiwemo ya hifadhi ya mazingira yenye thamani ya zaidi ya shilingi trilioni 37.55. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano…
Mkuu wa chuo Kikuu Huria akanusha kuvuja kwa mitihani, 17 wadakwa wakijifanya wanafunzi
Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Chuo Kikuu Huria (OUT), Profesa Elifasi Bisanda amekanusha kuvuja kwa mitihani na kuwepo kwa vitendo vya udanganyifu wakati wa mitihani cmya muhula uliopita. Aidha pia ameonya kwa wale wote wenye nia…
Serikali yakunwa na Fema kusaidia kupunguza ukatili kwa makundi balehe
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato SERIKALI imezitaka taasisi zisizokuwa za kiserikali kuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia, rushwa, ngono, dawa za kulevya, mauaji pamoja na mimba za utotoni hasa kwa kundi balehe. Hatua hiyo inatokana…