JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

MISA yaomba kupunguzwa ada leseni vyombo vya habari vya mtandaoni

Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Taasisi ya habari kusini mwa Afrika tawi la Tanzania (MISA-TAN), imeiomba Serikali kupunguza viwango vya ada ya kuendesha mitandao ya kijamii (Blogs,Online Tv na You Tube) ili kuvutia vijana wengi kumiliki.mitandao kisheria. MISA pia imeomba serikali kuharakisha…

Mbwana : Kufunga au kufungua maduka yenu ni maamuzi yenu

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMediaDar es Salaam Mwenyekiti wa wafanyabiashara Kariakoo Martini Mbwana ameacha kitendawili kwa wafanyabishara suala la kufunga na kufungua maduka ni maamuzi yao baada ya kuwapatia mrejesho wa kikao walichozungumza baina yao na viongozi wa Serikali akiwemo Waziri wa…

LHRC : Serikali ipunguze gharama za uendeshaji nchi, maisha ya kifahari

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa rai kwa Serikali kupunguza gharama za uendeshaji wa nchi ikiwemo maisha ya kifahari kwa viongozi wa kitaifa huku wananchi wakilia ukali wa hali ngumu kutokana…

Waandamanaji Kenya waapa kurudi tena barabarani

Wandamanaji nchini Kenya wameapa kuendelea na maandamano yao kupinga nyongeza mpya za ushuru, siku moja tu baada ya polisi kufyatua risasi na kuwaua takriban watu watano. Watu wengine zaidi ya 100 walijeruhiwa pia walipovamia majengo ya bunge. Katibu Mkuu wa…

Uhuru Kenyatta awaomba viongozi kuwasikiliza wananchi

Rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta, ametoa wito wa amani kufuatia maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha wa 2024 ambayo siku ya Jumanne yalikumbwa na matukio ya vurugu baada ya waandamanaji kuvamia Bunge la Taifa. Katika taarifa kwa vyombo…