Month: June 2024
Wananchi vijijo vya Likwela, Unyoni waipongeza Serikali kuwafikishia huduma ya umeme
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Mbinga WANANCHI wa vijiji vya Likwela na Unyoni vilivyopo kata ya Unyoni Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma wameipongeza serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia…
Pinda awafariji ndugu wa waliopoteza maisha kwa ajali ya mtumbwi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mlel Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Kavuu katika halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi Mhe. Geophrey Pinda amewatembelea na kuwafariji wananchi wa kijiji cha Ukingwamizi katika kitongoji…
Gavana Bwanku atembelea kujionea uwekezaji mkubwa bilioni 20 wa Rais Samia kwenye bandari ya Kemondo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Washuhudia Wataalamu wakubwa, mitambo mikubwa na wafanyakazi wakiwa site. Bandari ya Kemondo kufungua uchumi mzima wa mkoa. Bandari ya Kemondo iliyopo kwenye Tarafa ya Katerero wilayani Bukoba- Kagera ni moja ya Bandari kubwa 10 Tanzania…