JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

Geita yatakiwa kuja na mradi wa Kaboni kuokoa mazingira

Mkoa wa Geita umetakiwa kuanzisha mradi wa kaboni ili kujipatia kipato na kukabiliana na kasi ya uharibifu wa mazingira inayotokana na shughuli za ukataji wa miti hovyo. Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhandisi Cyprian Luhemeja…

Wabunge Marekani waimwagia sifa Tanzania

Wawakilishi 11 wa Bunge la Wawakilishi-Congress kutoka nchini Marekani wameridhishwa na juhudi za uhifadhi zinazofanywa na Serikali ya Tanzania huku wakisifia namna ambavyo Hifadhi za Taifa zimesheheni wanyamapori. Hayo yamesemwa katika kikao kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki…

Tanzania mwenyeji Baraza la 42 la Utawala la PAPU

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania inakuwa mwenyeji wa Mkutano wa 42 wa Baraza la Utawala la Umoja wa Posta Afrika (PAPU) linalotarajiwa kuanza Juni 3 hadi 14, 2024 jijini Arusha yalipo Makao Makuu ya Ofisi za PAPU….

Wasanii wa Watanzania, Korea kucheza filamu kwa pamoja

Ahadi hiyo imetolewa na Rais wa Umoja wa Watayarishaji wa Filamu wa Korea (Korean Films Producers Association-KFPA), Bw. Eun Lee mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokutana nao jijini Seoul Juni 01, 2024….