Month: June 2024
Wanaume B/MULO hatarini matumizi ya viagra
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia,Biharamulo MATUMIZI mabaya ya dawa za kutibu ugonjwa wa shinikizo la damu(Viagra) unatishia ongezeko la vifo vya wanaume wilayani Biharamulo mkoani Kagera kutokana na baadhi ya watu kuzitumia holela kwa imani za kuongeza nguvu za kuhimili tendo…
DAWASA yafunga mita 150 za malipo ya kabla Dar na Pwani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la ufungaji wa mita za malipo ya kabla (prepaid meters) kwenye maeneo mbalimbali hadi kufikia Mei 31,2024 jumla ya…
Dk Mwigulu, Waziri Aweso na mbunge Cherehani washuhudia utiaji saini mradi wa maji ziwa Victoria wa bil.44 Ushetu
Na Mathias Canal, Ushetu, JamhuriMedia, Kahama Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba, Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso na Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani wameshuhudia utiaji saini mradi mkubwa wa Bilioni 44 wa maji ya ziwa…
TIC yatangaza fursa za uwekezaji maonyesho ya Tanga
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Tanga KITUO cha Uwekezaji nchini (TIC), kimesema kampeni ya nchi nzima ya kuhamasisha uwekezaji imeamsha ari ya watanzania wengi kuchangamkia fursa za uwekezaji kwenye sekta mbalimbali. Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na Afisa Uwekezaji wa kituo hicho,…
Majaliwa : Serikali yenu ipo imara
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Swrikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ipo imara na inaemdelea kutekeleza miradi ya kimkakati Amesema utekeleza wa miradi hiyo utawawezesha wananchi kutekeleza majukumu yao kikamilifu na kushiriki katika shughuli…