JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

Maji rasilimali adimu duniani inayohitaji ulinzi – RC Ruvuma

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amesema maji ni raslimali adimu Duniani inayohitaji ulinzi kama zilivyo raslimali nyingine zilizopo kwenye matishio  Kanali Abbas amesema hayo kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.wakati anafunga…

Madakari bingwa mama Samia 45 wapiga kambi Pwani kutoa huduma kwa wananchi

Na Mwamvua Mwinyi, JammhuriMedia,Pwani MADAKTARI Bingwa wa mama Samia 45 wamepiga kambi Mkoani Pwani ,kwa siku tano ili kutoa huduma za afya za kibobezi kwa magonjwa mbalimbali ikiwemo ya njia ya uzazi na watoto. Aidha watatoa huduma kwa wagonjwa ya…

Wabunge waipa tano Serikali kwa kutangaza utalii na kuongeza idadi ya wageni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma¹ Baadhi ya wabunge wamepongeza juhudi za Serikali katika kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini hasa kupitia filamu ya Tanznaia the Royal Tour na amaizing Tanzania iliyozinduliwa hivi karibuni nchini China. Akichangia mjadala wa bajeti ya…

Majaliwa awataka wakazi Geita kuchangamkia fursa za uvuvi

Na Daniel Limbe, JamhuriMwsia,Chato WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Kassim Majaliwa, amewataka wakazi wa mkoa wa Geita kujikita kwenye sekta ya uvuvi ili kuongeza ajira na kuinua vipato vyao. Aidha amesema Serikali ya Awamu ya Sita imejikita kusogeza…