Month: June 2024
Wanawake tujitume tuondokane na zama kutegemea ili kujiinua kimaendeleo – Msimbe
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia Kibaha MWENYEKITI wa kikundi cha wanawake cha Generation Queens (MWANAMKE SAHIHI FETE) mkoani Pwani, Betty Msimbe amewaasa wanawake kuendelea kujituma ili kujikomboa kimaisha na kuondokana na zama za utegemezi. Akitoa rai baada ya kutoa tuzo ya…
Rais Samia akutana na mwanamuziki maarufu Korea, yupo kwenye fani kwa miaka 50
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na mwanammuziki maarufu nchini Korea, Cho Yong-pil ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kutangaza vivutio vya utalii. Bw. Cho ambaye yupo katika fani ya mziki kwa zaidi ya…
Kesi ya wanandoa kujeruhi jirani yapigwa kalenda tena
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHAHIDI wa upande wa mashitaka Kiran Lalit Ratilal, ameshindwa kutoa ushahidi katika kesi ya kujeruhi inayowaabili wanandoa Bharat Nathwan (57) na Sangita Bharat (54), kwa sababu wakili wa utetezi katika kesi hiyo yupo…
Chuo kikuu tawi la UDSM kujengwa Chato – Waziri Mkuu
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia,Chato WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Chato mkoani Geita kuwa ujenzi wa tawi la Chuo kikuu cha UDSM kitivo cha slSayansi ya Uvuvi (Institute of Marine Science) kinaendelea kujengwa kwenye kijiji cha Kasagara…
Bilioni 30 kuimarisha huduma za watoto wachanga katika hospitali 100 nchini
Na WAF-Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imepanga kutumia shilingi bilioni 30 kuimarisha huduma za watoto wachanga kwenye hospitali 100 nchini kwa kujenga wodi maalum (NCU) za Watoto wachanga, Watoto njiti na ununuzi na usambazaji wa vifaa tiba ikiwemo mashine…