JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

Makamu wa Rais mgeni rasmi kongamano la Dira ya Maendeleo 2050

Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la dira ya maendeleo 2050 litakalofanyika June 8,2024 katika ukumbi wa Nkurumah chuo kikuu cha Dar es salaam. Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 4,2024 jijini Dar…

Ziara ya Rais Samia Korea kuivusha Tanzania

Na Deodatus Balile, Seoul,Korea “Ukijumulisha dola bilioni 6.4 za Uturuki, ukaongeza angalau dola milioni 500 zitakazotokana na Nishati Safi ya Kupikia za Ufaransa kati ya hizo dola bilioni 2.2 zilizochangwa, ukaweka dola bilioni 2.5 za Korea Kusini, ni wazi katika…

Mwendelezo wa Rais Samia kutunukiwa shahada za heshima ni kiashiria cha kutambua kazi zake

Imeelezwa kuwa mwendelezo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kutunukiwa shahada za heshima za falsafa na vyuo vyenye hadhi ya juu duniani ni kiashiria cha kutambua kazi kubwa inayofanywa na Mwanadiplomasia huyo namba moja nchini….