JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

Ruto asikiliza kilio cha Wakenya, asisitiza kubana matumizi

Kenya inashusha pumzi baada ya Mswada wa Fedha wa 2024 uliozua utata kutupiliwa mbali. Rais William Ruto hatimae ametangaza kusikiliza kilio cha wakenya walioupinga mswada huo kwa nguvu zote. Akilihutubia taifa kwa mara ya pili tangu maandamano kulitikisa taifa kwa…

Tanzania yashinda tuzo ya Umoja wa Mataifa ya Ubunifu bora huduma za umma kupitia mfumo wa e-Mrejesho

Tuzo za Umoja wa Mataifa za Ubunifu katika Huduma za Umma ‘UN Public Service Innovation Awards’ zimetolewa leo Juni 26 mwaka huu, nchini Korea Kusini kwenye Kilele cha Wiki ya Huduma kwa Umma ya Umoja wa Mataifa ‘UN Public Service…

Profesa Janabi atua Arusha kuongeza kasi kambi ya matibabu ya RC Makonda

Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari bingwa na Mbobezi kwenye magonjwa ya moyo amewasili mkoani Arusha usiku wa Jumatano Juni 26, 2024 tayari kuhudumia wananchi kwenye Kambi maalum ya Matibabu inayoendelea mkoani Arusha kwenye…

ETDCO yaendelea kujenga miundombinu ya kusafirisha umeme mradi wa Tabora – Katavi 132kV

Kaimu Meneja Mkuu Kampuni ya ETDCO CPA Sadock Mugendi amesema wanaendelea kujenga miundo mbinu ya umeme nchini ikiwemo njia ya kusafirisha umeme kutoka Tabora hadi Katavi ambao ni mradi wa kusafirisha umeme na tayari mradi umefkia asilimia 67. Mugendi amesema…

DAWASA yapeleka matumaini mapya Msumi

_Uchimbaji wa visima virefu kama mpango wa awali waanza kutekelezwa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza kutekeleza kazi ya uchimbaji visima katika eneo la Mbezi- Msumi Kata…