Month: June 2024
Mazingira Hifadhi ya Kitulo yachelewesha pundamilia, swala kuongezeka
SERIKALI imesema wanyamapori waliohamishiwa Hifadhi ya Taifa ya Kitulo, wamechelewa kuzaliana kutokana na kubadili mazingira ya awali, lakini baada ya miili kukubaliana na mazingara hayo sasa wameanza kuzaliana. Akijibu swali bungeni leo Juni 5, 2024 kwa niaba ya Waziri wa…
Sh Bil 18 zahitajika kujenga mitaro Tabora
Serikali imesema kiasi cha Sh bilioni 18 kinahitajika kujenga mitaro mikubwa ili kukabiliana na mafuriko katika Mji wa Tabora. Naibu Waziri Ofisi ya Rais (Tamisemi), Zainabu Katimba ametoa maelezo hayo alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti maalum, Hawa Mwaifunga…
Leseni mpya 1,126 kutolewa michezo ya kubahatisha
Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini imepanga kutoa leseni 12,456 katika mwaka wa fedha 2024/25. Bunge limeelezwa. Akiwasilisha bungeni leo Juni 4, 2024, Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, Waziri wa Fedha…
Gharama kuhamisha fedha benki, simu bado kubwa
KAMATI ya Bunge ya Bajeti, imeishauri Serikali kufanya mapitio ya gharama za miamala kutoka mtandao mmoja wa simu kwenda mtandao au benki na kutoka benki moja kwenda benki nyingine. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Juni 4, 2024 na Makamu Mwenyekiti…
DC Tanganyika afikishwa mbele ya Baraza la Maadili
Na Mwandishi Maalum, JamhuriMedia, Katavi Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Bw. Onesmo Mpuya Buswelu tarehe 4 Juni, 2024 amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili kwa tuhuma za ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Bw. Buswelu…