JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

NEMC kuanza utekelezaji maagizo ya Serikali yaliyotolewa kwenye maadhimisho ya Siku ya Mazingira

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limesema lipo mbioni kuanza kufanyia kazi upya mapitio ya Sheria za mazingira ili kufanikiwa, kupunguza na hatimaye kukomesha kabisa uharibifu wa mazingira nchini . Hatua…

TLS yawashauri waandishi wa habari kuandika habari bila woga

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dodoma Waandishi wa habari nchini wametakiwa kuandika habari zenye mlengo wa hasa au chanya Kwa manufaa ya jamii Ushauri huo umetolewa na Makamu wa Rais wa Tanganyika Law Society ( TLS), Deus Nyabili alipokuwa akifungua mkutano…

Kuna gari linanifuatilia, nahofia maisha yangu – Lissu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameweka wazi kuwa tangu ameanza ziara yake kuna gari inafuatilia msafara wake na wakifika kwenye mkutano Watu hao hujificha. Lissu ameyasema hayo akiwa kwenye…

Putin atishia kushambulia magharibi kupitia mataifa mengine

Rais Valdimir Putin ameonya jana Jumatano kwamba Urusi inaweza ikawapatia mataifa mengine makombora ya masafa marefu kwa ajili ya kushambulia maeneo lengwa kwenye mataifa ya magharibi. Hatua hii amesema itakuwa ni jibu ya ruhusa iliyotolewa na washirika wa jumuiya ya…

Zaidi ya bilioni 80/- zasambaza umeme vijiji mkoani Singida

๐Ÿ“Œ Kapinga apeleka shangwe za umeme Maswauya na Mdilu Singida Kaskazini ๐Ÿ“Œ Asema hayo ni matokeo ya uchapakazi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan ๐Ÿ“Œ Mbunge apongeza Serikali kwa miradi ya maendeleo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Naibu waziri wa Nishati,…

Basi la Struggle lakamatwa kwa kuzidisha abiria 33

Na Abel Paul,Jeshi la Polisi -Arusha Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha limefanya operesheni maalum iliyolenga kutoa elimu na kufanya ukaguzi wa mabasi ambayo yatoa huduma Mkoani humo huku likimkamata dereva Sostenes Mgaya (42) Mkazi wa…