JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

Biteko asisitiza nia yake ya kuchochea maendeleo Bukombe, asisitiza umuhimu wa elimu

📌 Dkt. Biteko awataka wazazi kupeleka watoto shule 📌 Daraja la mpakani kati ya Bugelenga na Mbogo kuanza kujengwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Mhe. Dkt. Doto Biteko…

TAWIRI yatoa ushauri elekezi uwekezaji sekta ya utalii maonesho Karibu – Kili Fair 2024

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) ni Miongoni mwa Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii zinazoshiriki maonesho ya Karibu KILI FAIR 2024 yanayoendelea katika viwanja vya Kisongo, Magereza Mkoani Arusha. Maonyesho…

Watuhumiwa 16 mbaroni kuhusika na vitendo vya kihalifu

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 16 kuhusika na vitendo vya kihalifu ikiwemo kupanga njama za kuiba, kuvunja nyumba huku wengine wakiuuza na kusafirisha dawa za kulevya. Akizungumza…

TCCS yaunga mkono jitihada za Rais Samia uboreshaji sekta ya mifugo

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHAMA cha Wafanyabiashra wa Ng’ombe Tanzania (TCCS), kimesema kinaendelea kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan za kuhakikisha sekta ufugaji nchini inazidi kuboreshwa na kufanya kuwa ufugaji wa kisasa. Hayo yamebainishwa jijini…

Patrick Ausems ‘Uchebe’ kocha mpya Singida Black Stars

Na Isri Mohamed Klabu ya soka ya Ihefu (Singida Black Stars) imeutangazia uma kuwa imefikia makubaliano na kocha Patrick Aussems raia wa Ubelgiji kuwa kocha wao mkuu kwa msimu unaofuata wa 2024/25. Taarifa ya klabu hiyo inaeleza kuwa kocha huyo…

Serikali, JET kutatua migongano ya binadamu na wanyamapori

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia,Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara l ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na chama cha waandishi wa Habari za Mazingira (JET) wamewataka wanahabari kuendelea kutoa elimu juu ya utatuzi wa migogoro ya binadamu na wanyamapoli kwa…