JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

Serikali imelipa wazabuni kiasi cha bilioni 949 hadi Machi, 2024

Serikali imesema kuwa hadi Machi 2024 imelipa jumla ya shilingi bilioni 949.31 sawa na asilimia 92 ya madeni ya wazabuni wa bidhaa na huduma pamoja na wakandarasi yaliyohakikiwa kati ya madai yaliyowasilishwa yenye thamani ya shilingi trilioni 1.03. Hayo yamesemwa…

Serikali kuajiri watumishi wa afya 10,112

Serikali imesema kuwa mwaka ujao wa fedha itaajiri watumishi wa afya 10,112 ili kukabiliana na upungufu wa watumishi hasa maeneo ya vijijini. Hayo yameelezwa bungeni, Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia…

Serikali inathamini mchango wa matumizi ya nishati safi zote za kupikia

📌 Yawatoa hofu sekta binafsi kudhani nishati safi ni gesi pekee 📌 Mchango wa gesi asilia nishati safi kuchangia asilimia10 miaka kumi ijayo 📌 Umoja wa Ulaya kuendelea kufadhili utekelezaji wa Nishati safi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es salaam…

Wanne wakamatwa wakitorosha mifugo 70 kwa njia za panya Longido

Na Abel Paul, Jeshi la Polisi, Arusha Jeshi la Polisi kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo kwa kushirikiana na Mizara ya Mifugo na Uvuvi wamefanikiwa kukamata watuhumiwa wanne na mifugo 70 aina ya Ng’ombe ambayo ilikuwa ikitoroshwa Kwenda nchi Jirani…

Waziri wa vita wa Israel Benny Gantz ajiuzulu

Waziri wa vita katika baraza la dharura nchini Israel Benny Gantz amejiondoa serikalini katika ishara ya kuzidisha mgawanyiko kuhusu mipango ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu baada ya mzozo kuhusu Gaza. Akizungumza wakati wa mkutano na wanahabari mjini Tel Aviv Jumapili…