JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

UNICEF: Karibu watoto milioni 400 wananyanyasika majumbani

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), limesema makadirio ya watoto milioni 400 walio chini ya umri wa miaka mitano wanakabiliwa na manyanyaso majumbani. Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), limesema makadirio ya watoto milioni…

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa launga mpango wa Marekani kusitisha vita kati ya Israel, Gaza

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepiga kura kuunga mkono mpango unaopendekezwa na Marekani wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Gaza. Pendekezo hilo limeweka masharti ya “kusitisha mapigano kamili “, kuachiliwa kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas, kurejeshwa kwa…

Ndege iliyombeba Makamu wa Rais wa Malawi imepoteza uelekeo

Ndege ya kijeshi iliyokua imembeba Makamu wa Rais wa Malawi Saulos Chilima, sambamba na watu wengine tisa imepoteza uelekeo wake na kutojulikana ilipo Taarifa kutoka ofisi ya rais imesema ndege hiyo ilianza safari yake majira ya saa tatu asubuhi ya…

Prof. Janabi azigeukia Simba, Yanga kupima afya za wachezaji

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospita ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amezigeukia Yanga, Simba, Azam FC na Coastal Union, kuzingatia zaidi vipimo makini kwa wachezaji wapya watakaowasajili kwa msimu wa 2024/25. Kauli hiyo ameitoa leo Juni 10, 2024, wakati akizungumza…

Ajali ya basi yaua watatu

Watu watatu wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani eneo la Mogitu wilayani Hanang mkoani Manyara. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, George Katabazi, amesema ajali ya kwanza ilihusisha magari mawili ya mizigo, hali iliyofanya barabara isipitike…

LATRA yatangaza bei Daraja la Kawaida SGR

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza nauli za abiria wa daraja la kawaida kwa Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Makutupora ambapo abiria anayetoka Dar es Salaam hadi Dodoma…