JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

Malawi yatangaza siku 21 za maombolezo kifo cha Makamu wa Rais

Malawi imetangaza siku 21 za maombolezo kufuatia kifo cha Makamu wa Rais wa nchi hiyo Saulos Chilima na watu wengine nane kilichosababishwa na ajali ya ndege.  Siku ya Jumatatu, Chilima na ujumbe wake walikuwa safarini kuelekea kaskazini mwa nchi hiyo…

Tanzania kuendelea kutoa kipaumbele vyanzo mbadala vya umeme

📌 Lengo ni kujihakikishia umeme wa kutosha na uhakika 📌 Dkt. Biteko akutana na wadau wa chemba ya wafanyabiashara wa Ujerumani na wadau wa nishati 📌 Aiomba Ujerumani kuendelea kufadhili miradi ya nishati Na Mwandishi Maalum Naibu Waziri Mkuu na…

Kishindo cha Rais Samia Singida, bilioni 93 zatolewa uwekaji taa, ujenzi barabara na madaraja

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Serikali imetoa kiasi cha takribani Bilioni 93 Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan madarakani kwa ajili ya miradi ya uwekaji taa za…

Mndeme : Ajenda ya kutumia nishati safi ya kupikia ni uchumi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme amesema ajenda ya kutumia nishati safi ya kupikia ni uchumi kwani inaokoa muda wa kutafuta kuni na kujikita kwenye shughuli za…

Wananchi Kibosho waiomba Serikali kuwajengea vivuko vya kudumu

Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Kilimanjaro Wananchi wa Kata ya Kibosho,wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro,wameungana na wadau wa maendeleo kushiriki katika ujenzi wa daraja linalounganisha vijiji vitatu. Daraja hili litawezesha wakazi zaidi ya 6,000 kupata huduma za kijamii na kuwezesha watoto…

Rais Samia aridhia ombi la Msajili Hazina kuwa na siku maalum kutoa gawio

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu la kutenga siku maalum kila mwaka na kuwa siku ya Mashirika na Taasisi za…