Month: June 2024
Waziri Simbachawane: Kukopa si aibu, ni afya kiuchumi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amesema mikopo ni moja ya vyanzo vya mapato ya serikali kote duniani, hivyo Tanzania kukopa siyo aibu wala kujidhalilisha, bali ni sifa njema…
Majaliwa awataka watumishi wa Serikali kuacha urasimu
WAZIRI mkuu wa Tanzania,Kasimu Majaliwa amewataka Watumishi wa serikali kuacha urasimu pindi wanapohudumia wananchi badala yake wahudumie wananchi na kutatua kero zao kwa wakati. Ameyasema hayo leo mkoani Arusha wakati akifungua mkutano mkuu wa 14 wa Taasisi ya Maboresho ya…
Wahariri wa vyombo vya habari watakiwa kuelimisha jamii umuhimu wa kujiandikisha
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Darbea Salaam Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewaasa wahariri wa vyombo vya habari kuwahabarisha na kuwaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Akizungumza…
Ubalozi wa Tanzania Nigeria, TIC waandaa kongamano la uwekezaji
Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Ubaozi wa Nigeria imefanya kongamano kubwa la uwekezaji nchini humo lengo ikiwa ni kuvutia wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali ndani ya Afrika. Kongamano hilo ambalo lilifanyika kwenye miji ya Lagos na Enugu…
Rais Samia afungua nchi kimataifa
📌 Diplomasia ya Kiuchumi yainadi Tanzania kimataifa 📌 Marekani yasaka fursa uwekezaji Sekta ya Nishati 📌 Dkt. Biteko ataja maono ya Rais Dkt. Samia kiini cha ujio wa wawekezaji Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu…