JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

Waandishi wa habari washauriwa kuelimisha wananchi umuhimu wa Daftari la Mpigakura

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waandishi wa habari nchini wametakiwa kutumia kalamu zao kuhabarisha na kuelimisha wananchi kuendelea kuzingatia sheria za uchaguzi, kanuni za uboreshaji na maelekezo ya Tume kuhusu zoezi la uboreshaji wa daftari la mpiga kura….

Serikali yawataka wananchi kufunga kifaa cha kuzuia athari za umeme majumbani

๐Ÿ“Œ Lengo ni kujilinda na athari za umeme ๐Ÿ“Œ Kapinga ataja juhudi zinazofanywa na Serikali kuimarisha hali ya umeme Jimbo la Segerea ๐Ÿ“Œ Asema usambazaji umeme vijijini unaendelea, vitongoji 4000 kupatiwa umeme 2024/2025 na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu waziri…

ACT Wazalendo : TAMISEMI kusimamia uchaguzi Serikali za Mitaa inavunja sheria

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema kitendo cha Wizara Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa inavinja Sheria. Hayo yamesemwa Juni 12, 2024 na Katibu…

Matokeo ya uwekezaji, TPA yavunja rekodi ya kutoa gawio la bilioni 153.9 Serikalini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imevunja rekodi kwa kutoa jumla ya Shilingi za Kitanzania 153.9 Bln kama gawio kwa Serikali kuu kwa mwaka wa fedha Mwaka 2023/2024. Gawio hilo limeifanya TPA,…

Aliyeshauriwa kuondolewa kizazi nje ya nchi aokolewa Hospitali ya Temeke

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke(TRRH) imefanya upasuaji wa kuondoa uvimbe katika kizazi, maarufu kama myoma. Myoma ni uvimbe usio wa saratani unaojitokeza kwenye kizazi, na hutokea kwa wanawake waliopo katika umri…

Waziri Mavunde azindua Timu ya kuandaa andiko la Visioni 2030

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Madini Anthony Mavunde amezindua Timu itakayoandaa Andiko la maudhui ya Vision 2030: Madini ni Maisha na Utajiri katika hafla iliyofanyika Juni 12, 2024 jijini Dodoma. Akizungumza katika hafla hiyo, Waziri Mavunde amesema kuandaliwa…