JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

Rais Tinubu wa Nigeria aanguka katika hafla ya kitaifa

Rais, 72, alianguka alipokuwa akipanda ngazi kwenye gari ambalo lilipaswa kumpeleka karibu na Bustani ya Eagle Square katika mji mkuu, Abuja. Ilibidi asaidiwe kusimama. Mmoja wa wasaidizi wake alielezea kama “hatua mbaya” na akasema rais ameweza kuendelea na programu iliyobaki….

Mafanikio miradi ya kusafirisha umeme yatajwa kutoka bajeti Kuu ya Serikali

Akisoma Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, Bungeni-Dodoma, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali ya Awamu ya Sita imekamilisha ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa Kilovoti 400 na kituo kipya…

Bilioni 136.2 zimetumika urejeshaji wa miundombinu barabara na madaraja

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imetoa jumla ya Shilingi Bilioni 136.2 kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) na Wakala ya Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA), kwa ajili ya kurejesha hali ya awali ya miundombinu ya barabara na madaraja yaliyoharibiwa…

Mwenyekiti wa UVCCM Shinyanga atumbuliwa

Na Suzy Butondo, JamhuriMedia, Shinyanga Halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Shinyanya chini ya mwenyekiti wake Mabala Mlolwa kimemvua madaraka mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana UVCCM Wilaya ya Shinyanga mjini Jonathan Agustino Madete kwa kosa la utovu wa nidhamu. Akizungumza…

Rais Samia atoa milioni 900/- upasuaji wa moyo watoto JKCI

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 900 kwaajili ya kuwasaidia watoto wenye matatizo ya moyo wasiokuwa na uwezo wa kugharamia matibabu. Fedha hizo zimelenga kuwagharamia…