JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

Rais Samia aipa TANROADS bil. 431.4/- kutekeleza miradi ya ujenzi wa miundombinu Kagera

Na Mathias Canal, JamhuriMedia, Kagera Wakala wa Barabara “TANROADS” Mkoani Kagera inasimamia mtandao wa barabara wenye jumla ya kilomita 1,966.29. Kati ya hizo barabara kuu ni Kilomita 861.59, barabara za mkoa ni kilomita 1,053.75 na barabara za wilaya ni kilomita…

Wenye tabia ya kuuza bidhaa au kutoa huduma kwa fedha za kigeni mwisho Julai 1

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Serikali imewaelekeza wadau wote ndani ya nchi ikiwemo taasisi za umma, wafanyabiashara, asasi za kiraia, mashirika ya kimataifa wenye tabia ya kuweka bei kwenye bidhaa au huduma kuuza kwa fedha za kigeni kuacha mara…

Kailima awataka wanasiasa kuacha kuwadanganya wananchi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waandishi wa habari wameshauriwa kuandika ukweli kuhusiana na suala la vyama vya siasa kuitaka INEC isimamie uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa hoja kuwa sheria ya Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi…

Watatu wahukumiwa kwa kupokea rushwa ya sh 130,000

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imewahukumu Afisa Mtendaji wa Kata ya Iwindi na wenzake wawili kulipa faini ya Shilingi 500,000 kila mmoja au kwenda jela miaka mitatu kwa kosa la kupokea rushwa kiasi cha sh….

Kaimu Afisa Mtendaji kata ahukumiwa kwenda jela miaka mitatu kwa kuomba na kupokea rushwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Bunda Juni 11 , 2024 katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda imeamuliwa kesi ya Jinai Na.01/2023 mbele ya Mulokozi Kamuntu, Hakimu Mkazi Mfawidhi Mwandamizi wa mahakama hiyo. Katika shauri hilo lililoendeshwa na Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU…

Serikali imepanga kutumia Bajeti ya Mwaka 2024/2025 trilion 49.35/-

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kwa mwaka 2024/2025 imepanga kutumia jumla ya shilingi trilioni 49.35 kiasi hicho kinajumuisha: shilingi trilioni 15.74 kwa ajili ya ulipaji wa deni la Serikali na gharama nyingine . Ameyasema Juni 13, 2024…