JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

TCRA : Idadi ya watumiaji simu janja imeongezeka

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi wa Huduma za Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka amesema kuwa kufikia machi 2024 Idadi ya watu ya watumiaji simu janja imeongezeka kufikia asilimia 32.59 kutoka asilimia 32.13…

TLS : Wananchi bado wanahitaji katiba mpya

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimesema kuwa wananchi bado wanahitaji Katiba Mpya ambayo ni mustakabari wa Nchi. Kutokana na hilo, TLS imeendelea kutimiza wajibu wake kwa umma kwa mujibu wa sheria ambapo imeendesha…

RC Kunenge amemuapisha Magoti kuwa DC Kisarawe

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Alhaji Abubakari Kunenge amemuapisha Petro Magoti (Juni 14) kuwa mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe na kumuagiza kuhakikisha anaweka kipaumbele katika suala zima la ulinzi na usalama katika wilaya hiyo….

Chumba maalum cha ufuatiliaji maafa cha kwanza Bara la Afrika chazinduliwa Tanzania

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)imezinduzi Chumba maalum cha Ufuatiliaji wa Mwenendo wa Majanga na Tahadhari ya Mapema (Situation Room for Mult-Hazard Monitoring and Early Warning) katika Kituo cha Taifa cha Operesheni…

Dk Mpanngo aipongeza Wizara ya Maji kutekeleza mradi wa maji Same Mwanga – Korogwe

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amewapongeza viongozi wa Wizara ya Maji kwa kusimamia na kufanikisha vema utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Same -Mwanga – Korogwe….

Shia wafurahishwa na Serikali kutoa nafasi kutoa maoni kanuni za uchaguzi Serikali za Mitaa

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Dodom Jumuiya ya Shia Inthna’ashariyyah Tanzania (T.I.C) imeipongeza Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa hatua yake ya kuwapa nafasi viongozi wa Dini na Watanzania kwa ujumla kutoa maoni yao kwenye…