JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

Wananchi wampata tano mbunge Bashungwa kufanikisha ujenzi barabara ya Bugene -Kasulo – Kumunazi

Na Mathias Canal, JamhuriMedia,Karagwe-Kagera Wakazi wa Kijiji Cha Nyakahanga wilayani Karagwe Mkoani Kagera wameishukuru Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuimarisha ujenzi wa miundombinu ya barabara pamoja na madaraja….

Prof. Mkumbo ataka matokeo chanya kwa wawekezaji Mkulazi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo, amesema viwanda vingi nchini vimekuwa vikijiendesha kwa kutumia malighafi zitokanazo na bidhaa za kilimo, mifugo, uvuvi na misitu kutokana urahisi wa upatikanaji wa…

RC Chalamila atangaza kampeni ya upimaji afya bila malipo

-Asema kampeni hiyo ni ya siku 10 itaanza Juni 20-30,2024 -Abainisha kampeni hiyo inatarajia kuwafikia wananchi zaidi ya elfu kumi -Atoa rai kwa wakazi wa DSM kujitokeza kwa wingi kupima afya zao Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu…

Bashungwa CUP 2024 kuanza kurindima mwezi Julai

Na Mathias Canal, Karagwe-Kagera Mashindano ya mpira wa miguu yaliyopewa jina la “BASHUNGWA CUP 2024” yataanza kurindima mwanzoni mwa mwezi Julai 2024 katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera. Mashindano hayo yanayotarajiwa kufanyika kwa miezi miwili yatazinduliwa Kata ya Iguruwa yakihusisha…

Dk Biteko azindua taarifa za utendaji sekta ya nishati

📌 Sekta ya Nishati yazidi kuimarika 📌 Uwekezaji kwenye Gesi Asilia, Mafuta na Umeme waongezeka 📌 Ataka changamoto zilizoainishwa zipatiwe majibu ndani ya miezi mitatu 📌 Aitaka EWURA kupima uhusiano wa Rasimali na mabadiliko ya Maisha ya watu 📌 Aagiza…

Swissport kutoa gawio la bilioni 1.8/ -kwa wanahisa wake

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni ya Swissport inatarajia kutoa gawio la Sh. Bilioni 1.8 kwa wanachama wake baada ya kupata faida ya Sh. Bilioni 3.6 kwa mwaka 2023. Hayo yamebainishwa leo Juni 14, 2024 jijini Dar es…