JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

Mraibu aanzisha asasi kuikomboa jamii dhidi ya dawa za kulevya

*Said ni aliyekuwa mraibu kwa miaka 21. * Amgeukia Rais Samia, Wizara ya Afya na Ofisi ya Waziri Mkuu kuzishika mkono asasi changa ili kuokoa waraibu hasa vijana Na Mwamvua Mwinyi, JakhuriMwdia, Pwani NACHUKIA dawa za kulevya, najutia kupoteza muda…

Serikali, wafanyabiashara waafikiana, TRA kusitisha kamata kamata

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Hatimaye Serikali imehitimisha mazungumzo baina yake na Jumuiya ya Wafanyabiashata nchini kwa kuafikiana kusimamia maazimio 15 huku ikitoa maagizo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)kusitisha mara moja mazoezi yote ya kamata kamata pamoja na mengine…

Uongozi mpya NaCoNGO kuelekeza umakini wake kwenye vipaumbele vya utekelezaji

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Baraza la Taifa la mashirika yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO) baada ya kufanya uchaguzi wake na kuwapata viongozi wapya, sasa limeelekeza umakini wake kwenye utekelezaji wa vipaumbele vyake vitakavyo saidia kukuza na kuyainua mashirika yasiyokuwa ya…

kukumbatia tamaduni za kigeni ni hatari kwa maendeleo ya nchi – Dk Biteko

📌 Asema ni chanzo cha mmomonyoko wa maadili 📌 Ahusisha na ukatili wa kijinsia na mauaji ya Albino Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka…

Serikali kuweka mkazo wa maendeleo vijijini kupitia TARURA

Na Catherine Sungura, JamhuriMedia, Dodoma Serikali itaendelea kuweka mkazo wa kipekee katika kusukuma maendeleo vijijini kama njia sahihi ya kuchochoa uchumi jumuishi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo wakati wa…

Bodi ya NHC yajionea maendeleo ya miradi iliyopo Dar es Salaam

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), imejionea maendeleo ya miradi mbalimbali iliyopo Dar es Salaam ili kuona juhudi zinazofanywa na timu ya ujenzi chini ya usimamizi wa Mkurugenzi Mkuu…