JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: June 2024

Dk Mpango amuwakilisha Rais Samia mazishi ya Makamu wa Rais Malawi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Malawi Hayati Dkt….

Waziri Mkuu mgeni rasmi swala ya Eid na Baraza la Eid kitaifa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 17, 2024 ameswali swala ya Idd El-Adh’haa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI BAKWATA, Kinondoni Dar es Salaam. Pia Mheshimiwa Majaliwa amekuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya Baraza la Kitaifa lililofanyika katika msikiti huo…

Seris Foundation yatoa msaada wa vifaa kwa watoto wachanga siku ya mroto wa Afrika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TAASISI ya SERIS (Seris Foundation) yenye makao makuu yake Ilala, Jijini Dar es Salaam Juni 16,2024 imetembelea na kutoa msaada wa vifaa kwa Watoto Wachanga waliozaliwa usiku wa kuamkia Juni 16 katika Hospitali…

RITA yaunda kamati kusimamia msikiti Arusha

Na Mwandishi Wetu,JammhuriMed8a, Arusha WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini nchini (RITA) umeunda Kamati ya muda itakayochukua majukumu ya Bodi ya Udhamini iliyomaliza muda wake ya Taasisi ya Arusha Muslim sambamba na kuunda kamati ya maalumu ya uchunguzi itakayofuatilia malalamiko…

Kikundi cha Tunaweza Mongolandege Ukonga wakabidhiwa katiba, wampongeza Rais Samia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mongolandege, Rajabu Tego amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufungua milango kwa kutoa miongozo yenye unafuu katika usajili wa vikundi mbalimbali kisheria. Hayo ameyasema leo Juni 16,…